WATU 29 WAUAWA KATIKA SHAMBULIZI,KENYA

Wizara ya maswala ya ndaniu inasema kuwa takribani watu thelathini wameuawa katika mashambulizi tofauti katika makazi ya pwani ya kenya karibu na mpaka wa somalia.

watu 20 waliuawa katika eneo la  Gamba kaunti ya tana river huko tisa wengine wakiuawa kufuatia ufyatulianaji wa risasi katika kituo kimoja cha kibiashara kaunty ya lamu kalibu na mpaka wa Somalia

Inadaiwa kuwa watu vwalikuwa wakitizama mechi za kombe la dunia wakati wa tukio hilo.shambulizi la pili lili tekelezwa karibu na eneo la mpeketoni ambapo zaidi ya watu sitini waliuawa katika vshambulizi jingine mwezi hulio pita.

kundi la Alshabab lina kili kutekeleza mashambulio hayo.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment