Papa Francis ameomba Amani kwa dhati katika hotuba ya kila juma katika medani ya St Peter's Mjini Rome.
Aliacha kusoma hotuba alioandika kuomba vita vimalizwe na hisia ikisikika kwenye sauti
"wakina kaka na wakina dada,hapana vita,hapana vita,nawafikiria hasa watoto ambao wananyimwa hasa matumaini ya maisha ya maana,hsa ya siku za mbele,watoto waliokufa,walioumia,watoto walioachwana vilema,waliokuwa yatima,watoto wanaocheza na mabaki ya vita ,watoto wasiojua kucheka
Acheni kupigana.
Nakuombeni kwa moyo wangu wote
Tafadhali,achane sasa hivi"
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment