KIKOSI CHA MBEYA CITY KUTANGAZWA WIKI IJAYO.



Mchakato wa kutafuta vijana watakao cheza ligi ya vijana,ulianza muda wa mwezi sasa ,na amejipanga kutangaza kikosi bora kitakachofanyika na kikosi kikubwa katika maandalizi ya ligi kuu

Akizungumza na JICHOPEMBUZI,Mwambusi alisema wiki hiyo pia wanategemea kutangaza kambi ya maandalizi ,kwamba uongozi wa klabu utaweka bayana kama watajificha wapi kwa kujifua kutengeneza kikosi hicho hili kiweze kuchukua ubingwa msimu ujao.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment