USIPUUZE KUMNYONYESHA MTOTO.

Kampeni ya kitaifa kuhusu unyonyeshaji wa mtoto inaanza leo kote Duniani na itaendelea kwa siku saba 

na mwanzo katika mfululizo wa makala maalumu kuhusu unyonyeshaji wa mtoto tunaanza kwa kuangazia faida ya maziwa ya mama

wataalumu wa Afya wanasema maziwa hayo ni salama kutokana na kuwa na kinga za mwili za kutosha zidi ya magonjwa mbalimbali.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment