MAREKANI KUSAIDIA ISRAEL KUJILINDA.

Marekani imepitisha mswada unatoa msaada wa kifedha kwa Israel kuimalisha mfumo wake wa kujilinda dhidi ya makombora.

Mswada huo unaotoa dola milioni mia mbili na ishirini na tano kuimalisha mfumu huo ambao umetumiwa kuyatungua makombora kadhaa ya roketi kutoka kwa wapiganaji wa kipalestina katika majuma ya hivi kalibuni 

mpango huo wa fedha hata hivyo ni sharti upitishwe na bunge la wawakilioshi na kutiwa sahihi na Rais Obama.

waandishi wanasema wabunge wa Marekani wamekuwa wakiunga mkono Israel hivyo basi mswada huo uwenda usikabiliwe na vikwazo vyovyote.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment