Mkurungenzi wa shirika la afya duniani Margeret Chan amesema kuwa kuzuka kwa ugonjwa wa Ebola magharibi mwa Afrika kunaweza kusababisha janga baya iwapo autazuiwa.
Akizungumza mjini Conakry baada ya kukutana na maraisi wa Guinea,Liberia,na sierra Leone ,amesema kuwa ugonjwa huo unasambaa kwa kasi ukilinganishwa na juhudi za kuhudhibiti,lakini akaongezea kuwa unaweza kusitishwa kutokana na usaidizi wa kimataifa
Marekani inasema kuwa Raia wawili wa taifa hilo wa kutoa msaada wanaugua ugonjwa huo wa Ebola watasafirishwa hadi Marekani mapema wiki ijayo ilikupewa matibabu katika eneo lililo tengwa
kisa cha ugonjwa huo kitakuwa cha kwanza kutibiwa nchini Marekani.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

0 maoni:
Post a Comment