Mara baada ya sitisho la mapigano kuanza,wajumbe wa Israel na Palestina watakwenda Cairo kwa mazungumzo juu kuongeza muda wa kusitisha vita hivyo.
Marekani na umoja wa mataifa wametangaza kuwa Israel na Hamas wamekubalina juu ya sitisho la mapigano la kibinadamu kwa saa 72 bila masharti.
Mara baada ya sitisho hilo la mapigano kuanza ,wajumbe wa Israel na Palestina watakwenda Cairo kwa Mazungumzo juu kuongeza muda wa kusitisha vita hivyo.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

0 maoni:
Post a Comment