Rais Jose Mujica akiwa na Papa Francis Sifa kwa wana siasa kokote Duniani ni nadra,lakini watu wamemmiminia sifa Rais wa Uruguay Baadhi wakitamani kama Marais wao wange kuwa kama Rais Jose mujica wa Uruguay
Kwenye twitter kuna zaidi ya jumbe laki moja ya watu wa nchi ya hispania wakitamani kama waziri mkuu wao angekuwa kama kama Rais maskini zaidi Duniani Jose mujica wa Uruguay.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

0 maoni:
Post a Comment