Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Ubelgiji Divorc origi Hatimaye amejiunga na timu ya Liverpool
Baba yake Origi,Mike Okoth ,ambaye ni mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars amethibitisha mwanawe Divorc amesaini mkataba na liverpool ambao walifulaishwa na mchezo wake mzuri alipoiwakilisha Ubelgiji kwenye kombe la Dunia.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment