
Msemaji wa jeshi hilo mratibu mwandamizi wa polisi SSP Advera Bulimba amesema jeshi hilo limejipanga kuakikisha wananchi wanasherekea sikuku hiyo kwa amani na utulivu huku akiwzataka wazazi kuwa waangalifu na watoto wanapo kuwa jirani na maeneo ya fukwe ya bahari.
Aidha SSP Bulimba amewatadharisha wananchi kuchukua atua za kiusalama uzoefu unaonyesha kuwa kunawatu wana tumia mwanya wa sikuku kwa kufanya matukio ya kiualifu kwa sababu kunakuwa na mikusanyiko mikubwa ya watu.
0 maoni:
Post a Comment