Vilevile,baada ya kufanya mabadiliko hayo katika kamati yas utendaji Mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa Yanga wanapenda kuwashukuru wajumbe wa kamati ya utendaji ya Yanga kwa juhudi zao za kutekeleza shughuli za klabu.
Mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa klabu ya Young Africans Sport Club YANGA kwa mamlaka waliopewa na wanachama kubadilisha,kupunguza au kuongeza mjumbe yeyote kwenye kamati ya utendaji wakati wowote kulingana na changamoto za klabu.
Mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa klabu ya Yanga wanapenda kutoa taarifa Rasmi,kuwa kamati ya utendaji wa Yanga na kati zote zilizo chini ya kamati ya utendaji zitavunjwa kuanzia tarehe 31,julai,2014.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment