Stori nyingine kubwa kwa staa wa muziki Duniani kutumia maneno ya kiswahili nakumbuka hilikuwa Desemba 6 mwaka 2013 baada ya kifo cha mzee Nelson Mandela ambapo nicki minaj aliandika maneno ya kiswahili kwenye page yake ya Instagram "madaraka kwa watui"
saa kadhaa zilizopita Headline zimeamia kwa P Diddy ambaye aweka picha chini kwenye page yake ya Instagram na kuweka Hash tage ya SIMBA
Home / Uncategories / BAADA YA NICKI MINAJ,HUYU NI STAA MWINGINE WA DUNIA ALIYE TUMIA NENO LA "KISWAHILI"INSTAGRAM
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)



0 maoni:
Post a Comment