Timu ya vijana ya Tanzania chini ya miaka 17,Serengeti Boys wamebugizwa mabao 4-0 dhidi ya timu ya taifa ya vijana wa umri huo ya Afrika kusini maarufu kama Amajimbos katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za vijana za mataifa ya Afrika
Mechi hiyo Rahisi kwa Afrika kusini imepigwa jioni ya leo katika uwanja wa Dobsonville uliopo Soweto na kushuudia wenyeji wakitoka na furaha
Taarifa kutoka Afrika kusini zinaeleza kuwa Serengeti walizidiwa kila idara na wange pigwa hata mabao 7 kwasababu Amajimbos walikosa magori mengi ya wazi
Serengeti Boys ambao awakuandaliwa tangu siku nyingi ,wiki mbili zilizo pita watoka suluhu ya kutofungana katika mchezo wa kwanza ulichezwa uwanja wa Azam Complex chamazi nje kidogo mwa jiji la Dar es salaam.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

0 maoni:
Post a Comment