Mechi hiliyo pita mjini cotonou ,malawi walifungwa goli 1-0 na leo wakiwa nyumbani wamepata ushindi wa aina hiyo hivyo sheria ya mikwaju ya penalti kuamua kupata mshindi.
Bao pekee la malawi lilifungwa na John banda katika dakika ya 43
Malawi ambao wako nafasi ya 16 katika nchi za Afrika kwenye viwango vya Fifa walitawala mchezo kwa mda mrefu.
wakati huo nao rwanda wamefuzu hatua ya makundi kwa mkwaju ya penalti baada ya kufuta kipigo cha mabao 2-0 walichopta ugenini zidi ya Congo -Brazzavile
mabao mawili ya Rwanda yalipatikana kunako kipindi cha pili kupitia kwa ndahinduka michael katika dakika ya 55na meddy kagere katika dakika ya 60 na kuipa ushindi nchi hiyo.
Rwanda walishinda penalti 4-3 na patrick Sibomana alifunga penalti ya ushindi na sasa wanaungana na mabingwa watetezi Nigeria ,Afrika kusini ,na Sudan katika kundi A.


0 maoni:
Post a Comment