MASHABIKI WA NEWCASTLE NA WESTHAM WAZICHAPA KAVUKAVU UJERUMANI,21 WATIWA MBARONI.

Mashabiki 21 wa West ham na Newcastle wamekamatwa na polisi mjini Dusseldorf 
                                   (  picha ya juu haiusiani na tukio)
POLISI nchini Ujerumani wamewatia mbaroni mashabiki 21 wa Westham na Newcastle baada ya kuanzisha fujo na kuzichapa "kavukavu"huko Dusseldorf ,mapigano hayo yalizuka baina ya mashabiki hao hasimu jana mchana na polisi 100 walipelekwa eneo la tukio kutuliza ghasia 

Timu hizo zitachuana katika kombe la Schalke 04 mwishoni mwa wiki hii huko Gelsenki rchen.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment