ISRAEL AITASITA KUISHAMBULIA GAZA.

Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu nchi yake aitasita kuishambulia Gaza hata baada ya operesheni hii kukamilika

Bwana Netanyahu alilionya kundi la Hamas kuwa serikali yake italiadhibu kundi hilo endapo litaendelea kudhulu  taifa hilo la kiyahudi.



Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment