Amesema wamethibitisha kwamba wanauwezo wa kufanya kazi kwa pamoja na wataendelea kuungwa mkono na majeshi ya marekani,ambayo tayari yamefanya mashambulio zaidi ya anga katika eneo linalokaliwa na wapiganaji wa kiislamu
Ripoti zinasema kuwa mapambano katika juhudi za kuthibiti yanayo zunguka bwawa hilo yanaendelea
0 maoni:
Post a Comment