Kikosi
kazi cha wafanyakazi wa Benki ya Akiba wakiwa tayari katika banda lao
katika maonesho ya siku tatu ya Taasisi za Fedha yaliyoanza jana na
kumaliza Septemba 6 katika viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam. Huduma
mbalimbali zinatolewa na Benki hiyo ikiwa ni pamoja na huduma za mikopo
kwa wafanyabiashara wadogo na wakubwa na kufungua akaunti za aina
mbalimbali.
Wananchi
wakipata maelezo katika banda la Akiba Bank lililopo katika maonesho ya
ya Taasisi za Fedha katika viwanja vya Manazi Mmoja Dar es Salaam leo.
Wananchi
wakipata maelezo katika banda la Akiba Bank lililopo katika maonesho ya
ya Taasisi za Fedha katika viwanja vya Manazi Mmoja Dar es Salaam leo.
0 maoni:
Post a Comment