MADUDU MAPYA YA BILIONI 200 ZA IPTL .

Leo kuanzia saa tano Asubuhi mkurugenzi wa PCC amekutana na CAG kama hatua ya mwisho ya kubadilishana taarifa za kiukaguzi na kiuchunguzi kuhusu tuhuma za ukwapuaji wa bilioni 200 ndani ya akaunti ya escrow bank kuu,kwa mujibu wa taarifa za ndani taasisi zote mbili zina itimisha kazi zao wiki hii.


kwa mujibu wa taarifa za CAG atakabidhi taarifa zake kwa kwa waziri mkuu wa bunge kwa mujibu wa utaratibu na taarifa hiyo itapaswa kuwa wazi kwa mjadara ingawa mpaka sasa taarifa ndani ya ofisi ya katibu wa bunge zina onyesha kuna mkakati wa kuzuia report hiyo ya CAG kwa upande wa report ya PCCB Dar Hosea atausika kuikabidhi taarifa hiyo kwa waziri mkuu sambamba na DPP tayari kwa mashtaka kwa makosa yatakayo bainika ya kimahakama.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment