SIFA 16 ZA RAIS ANAYETAKIWA 2015

Mwanasiasa nchini ,Cleopa David msuya ametaja sifa 16 za Rais ajaye .ambaye ni makamu wa Rais wa waziri mkuu Mstaafu alisema kuwa sifa hizo ni muhimu kwa ustawi wa taifa.

Msuya alizitaja sifa hizo kuwa ni uadilifu,uzalendo,upambanaji na ujasiri zidi ya rushwa na ufisadi na mwelewa na msimamizi wa uchumi alitaja nyingine kuwa ni ustawishaji wa uchumi sawia (economic equity and fair distribution of income and other economic benefits)na awe na uelewa wa kujua umuhimu wa kujenga na kusambaza sawia huduma za miundombinu ya kiuchumi na kijamii.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment