Mbunge wa Nzega CCM Dr. Hamis Kigwangalla, akitangaza rasmi nia yake ya kugombea Urais kupitia tiketi ya CCM mwakani 2015 amesema
kutokea kuuza karanga na biggee mtaani mpaka kuwa Doctor Mbunge na
Kiongozi wa CCM Taifa na kufikia na ndoto ya kutegemea kugombea Urais
ina maana moja tu kwamba sera za CCM zina tija kwa Taifa na wananchi
wake na yeye ni mfano wa kwanza mkubwa wa kuaminiwa kwamba sera hizo
zinajali usawa kwa wananchi kwani pamoja na kupitia yote aliyopitia bado
anaweza kutuhubutu kugombea Urais wa Tanzania kwa kukubaliwa na
kuruhusiwa kikatiba na chama chake CCM na kuruhusiwa kisheria na Sheria
za Jamhuri ya Tanzania.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment