Simone Battle ambaye alikuwa ni mshiriki kwenye shindano la X-Factor mwaka 2011 na vilevile mwimbaji kutoka kundi la waimbaji wa kike la G.R.L amekutwa amefariki nyumbani kwake Los Angeles Marekani .Bado chanzo cha kifo chake akijajulikana lakini uchunguzi unaendelea zaidi kujua ni nini kilitokea na wala akuna taarifa za ziada zilizotolewa zaidi ya hiik ya kusema amekutwa amefariki nyumbani kwake.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment