TANZANIA YAKUBWA NA MAJONZI NA HIZI NI PICHA 6 ZA AJALI YA AIR BUS ILIYOUA WATU 46 LEO.

Inakadiriwa kuwa kiasi cha watu 46 wamefariki dunia mchana wa leo katika ajali ya basi la kampuni ya Air  Bus toka Dar es salaam kuelekea Tabora na atimaye kudumbukia bondeni maerneo ya Kiegeya.Gairo.

Kwa taarifa zilizo ifikia JICHOPEMBUZI  mpaka sasa viongozi mbalimbali wa serikali na raia wamefika katika eneo la tukio kwa ajili ya kutoa msaada ambapo imelipotiwa kuwa majerui ni wengi tutaendelea kukuabalisha kuusiana na ajali hii.





Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment