Kikosi cha zima moto kikifanya juhudi za kuzima moto huo.
MSIKITI wa
madhehebu ya Wahindu uliopo maeneo ya Mtaa wa Kibasila karibu na shule
ya Olimpia jijini Dar es Salaam, umeteketea kwa moto leo asubuhi ambapo
baadhi ya mali zimeungua na mtu mmoja kukimbizwa hospitali kutokana na
mshituko.
Sehemu ya chumba cha msikiti kilichoungua.
Akizungumza
na mtandao huu, shuhuda mmoja alisema moto huo umesababishwa na
hitilafu ya umeme iliyoanzia kwenye mashine ya luku ambapo baadhi ya
waumini walikuwa wakijiandaa kuupamba msikiti huo.
Wananchi wakiwa katika eneo la tukio wakisaidia kuokoa baadhi ya mali zilizopo ndani ya msikiti.
Baadhi ya waumini wakiwa eneo la tukio.Baadhi ya mali zilizookolewa.
NA GPL
0 maoni:
Post a Comment