Muonekano wa gari hilo lilivyogongwa kwa nyuma.
Ajali imetokea leo mchana maeneo ya njia panda ya Ilala
ambapo gari ndogo aina ya Toyota Rav 4 lenye namba za usajili T606 CHH
liligongwa na Toyota DCM linalofanya safari zake kati ya Posta na Tabata
Kimanga. Rav 4 ilifunga breki ghafla na basi likagonga kwa nyuma. Hakuna
majeruhi wala mtu aliyefariki dunia.
(Habari/Picha na Global Whatsapp
0 maoni:
Post a Comment