Tunaomba
kwa anaye Mfahamu Mtoto huyu atoe Taarifa Kituo cha Polisi au
Hospitali ya Rufaa Mbeya ambapo Wasamalia wema wamempeleka.
Hajatambuliwa bado
Mwili
wa marehemu mtoto huyo ukiwa kando muda mchache baada ya kugongwa na
gari aina ya Toyota Double Cabin ambayo ilikimbia baada ya kufanya tukio
hilo
Baadhi
ya wasamalia wema wakiwa wamefika eneo la tukio kwa ajili ya kutoa
msaada kwa mtoto huyo ambaye alifariki papo hapo baada ya kugongwa
Baadhi ya wasamalia wema wakichukua mwili wa Marehemu mtoto huyo kwa ajili ya kuupeleka hospitali
Mashuhuda
Tukio
hili limetokea mida ya saa Tano asubuhi leo ambapo chanzo cha ajali
hiyo ni Mwendo kasi wa Gari hilo ambapo halikuchukua tahadhari na
kusababisha kugongwa kwa Mtoto huyo pia hajafahamika mpaka sasa.
Picha na Mbeya Yetu
0 maoni:
Post a Comment