Mama Fatma Karume akisalimiana na Kocha Mkuu wa Klabu ya Dar Young Africa Macximo
wakati wa michezo yake ya majaribio iliofanyika katika uwanja wa Amaan
Zanzibar, timu hiyio ilikuwa ikicheza na Timu ya KMKM Mabingwa wa Ligi
Kuu ya Grand Malt kwa msimu uliopita mchezo huo timu ya Yanga imeshinda
2--0.uliofanyika wiki iliopita timu ya Yanga katika michezo yake ya
majaribio iliofanyika katika visiwa vya Unguja na Pemba ilishinda yote.
Mama Fatma Karume akisalimiana na Msaidizi wa Kocha Mkuu wa Yanga.
Kocha Mkuu wa Timu Yanga Macximo akisalimiana na wapenzin wa timu yake
wakati wa mchezo wa kirafiki na timu ya KMKM iliofanyika uwanja wa Amaan
wiki iliopita.
Mshambuliaji wa timu ya Yanga Mbrazil Contihno akiwa katika harakati za
kuwapita wachezaji wa timu ya KMKM wakati wa mchezo wao wa kirafiki
uliofanyika uwanja wa Amaan wiki iliopita yanga imeshinda 2--0.
Mshambuliaji wa timu ya KMKM akimpita beki wa timu ya Yanga katika mchezo wa kirafiki uliofanyika uwanja wa Amaan.
Mshambuliaji wa Dar Young Africa Mrisho Ngasa akimpita beki wa timu ya
KMKM wakati wa mchezo wao wa mwisho wa kujipima nguvu kwa kujiandaa na
Ligi Kuu ya Vodacom.timu ya Yanga imeshinda 2--0.
Mshambuliaji wa timu ya Yanga JAJA, akiweka majaro golini kwa timu ya KMKM
Beki wa timu yac KMKM akimzuiya mshambuliaji wa timu ya Yanga Mbrazil
wakati wa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar
timu ya Yanga imeshinda 2--0.
Mshambuliaji wa Yanga Mrisho Ngasa akimpita beki wa timu ya KMKM.
Kocha Mkuu wa timu ya Yanga Macximo, akitowa maelekezo kwa mchezaji wake
Mrisho Ngasa katikati wakati wa mapumziko wa mchezo wao wa kirafiki na
Mabingwa wa Kombe la Grand Malt timu ya KMKM
Shabiki wa timu ya Yanga Zanzibar akiwa katika picha ya kumbukumbu na
Wachezaji wa Yanga wakati timu hiyo ilipofika Zanzibar ikiwa katika
michezo yake ya mazoezi ya majaribio ya kikosi chake kwa timu za
Zanzibar.
0 maoni:
Post a Comment