Balozi Seif Atembelea Miradi ya NSSF Dar. leo


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa na Menaja Mradi wa NSSF Mhandisi Karim Mattaka kulia yake na afisa wa Mfuko huo Bibi Maryam Muhaji wakikagua ujenzi wa Daraja la Kigamboni unaoendelea.
Balozi Seif akipata maelezo ya ujenzi wa daraja la Kigambnoni kutoka kwa wahandisi wa ujenzi huo wakati alipotembelea mradi huo.
Muonekano wa daraja la kigamboni unavyoonekana ukiendelea ya ujenzi wake chini ya wahandisi kutoka Kampuni ya Kimataifa ya Ujenzi wa Madaraja kutoka Jamuhuri ya watu wa china ya China Mager Bridges
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment