Kesi ya Pistorious ni leo


Leo Jaji Tokozile Masipa ataanza kusoma maelezo ya mwisho ya kesi ya Oscar Pestorius yatakayachukua siku nne.
Akipitia maelezo ya upande wa mashitaka na upande wa utetezi katika kesi hii ya mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini
Aliepatikana na hatia ya kumuua mpenzi wake bila kukusudia .
Mengi yamesemwa na raia wa A-Kusini katika kesi hii kwamba Jaji hakuonesha uadilifu kumpata Oscar Pestorius na hatia ya kuua bila kukusudia badala ya kuua kwa makusudi.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment