KILIMANJARO PREMIUM LAGER JEMBE AWAMU YA PILI YAZINDULIWA RASMI.

Dar es salaam:
Awamu ya pili ya kampeni nani mtani jembe imezinduliwa kwa waandishi wa habari na inazinduliwa leo kwa wadau wa simba na yanga 04 Octobar 2014 katika viwanja vya leaders Clab Jijini Dar es salaam na itajulikana kama nani mtani jembe namba 2 

Akiongea katika mkutano wawaandishi George Kavishe meneja wa bia ya kilimanjaro premium lager alisema Dhumuni la kampuni yetu ya pili ya nan i mtani jembe ni kuisogeza kilimanjaro premium lager kuiwa kalibu na wateja wake na wana nchi na kuamasisha ushabiki kati ya Yanga na Simba kwa kushindanisha mamilio ya mashabiki wa klabu hizi  nchi nzima kwa kipindi cha wiki kumi kuanzia Octobar hadi Disembar


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment