AMISI TAMBWEKAMILI GADO KUIVAA STAND UNITED.

Mshambuliaji wa kutumainiwa wa Simba Hamisi Tambwe jana Asubuhi amefanya mazoezi kwa asilimia 100 na kuondoa uvumi uliokuwa umemuhusisha kukosa mechi ya leo zidi ya Stand United 

Amisi Tambwe ambaye ni mfungaji bora wa ligi kuu Tanzania bara msimu ulio pita leo  anatalajia kuingoza timu ya simba akishilikiana na mshambuliaji Emmanuely Okwi kujalibu kupata ushindi kwenye mchezo wowote kati ya miwili waliocheza mpaka sasa baada ya kutoa sare mechi zake mbili za kwanza kati ya polisi morogoro na Coastal Union 

Tambwe ambaye alikuwa kwenye hati hati ya kucheza mchezo huo wa kesho leo asubuhi amefanya mazoezi vizuri pamoja na kikosi cha simba kwenye vya chuo kikuu cha Dar es salaam



Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment