RPC MBEYA AWAVURUGA CHADEMA.

CHAMA cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya mbeya mjini kimetoa siku tatu kwa kamanda wa polisi mkoa wa mbeya Ahmed msangi ,kukanusha kauli yake aliyo itoa hivi karibuni ya kuwa atawafabnyia "kitu mbaya"  wafuasi wa chama wakiendelea na maandamano.

Viongozi wa Chadema wilaya ya mbeya mjini walisema kuwa wanasikitishwa kwa kamanda huyo kutoa kauli hiyo yenye lengo la kuwatishia usalama raia aliokabidhiwa jukumu la kulinda mali zao.

Hivi karibuni kamanda msangi alikaliliwa na vyombo mbalimbali vya habari kwa nyakati tofauti kuwa kama chadema wataendelea na msimamo wa kuandamana polisi watawafinyia kitu kibaya

akizungumza na waandishi wa habari mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Mbeya mjini John mwambija alisema tumepata taarifa baadhi ya viongozi wakuu wanne wa chama hicho wamelengwa kuuawa

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment