Shirika la afya Duniani WHO linasema kwa msichana wa umri wa miaka miwili ambaye alisibitishwa kuwa mgonjwa wa kwanza wa Ebola nchini mali alisafili kilometa kadhaa kwa basi nchini humo huku akionyesha dalili za kuugua ugonjwa huo.
Zaidi ya watu 40 ambao walikabiliana naye wametengwa .Huenda msichana huyo alisafilishwa kwenda nchini Mali na nyanya yake baada ya mazishi ya mama yake nchini Guinea moja ya nchi ambazo zimeathilika pakubwa na ugonjwa wa Ebola .
Utawala wa nchini Mali sasa umethibitisha kuwa msichana huyo ameaga dunia kwenye hospitali moja mjini Mayes alikokuwa akipewa matibabu
Mwandishi wa BBC aliyeusika na maswala ya afya anasema kuwa uenda ikawa ni changamoto kubwa kuwapata watu wengine ambao walikalibiana na msichana huyo.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment