Mchezo wa Tennis Novak Djokovic amesema kuwa azingatii sana nafasi yake ya kwanza.
Amesema hayo wakati kiwango chake kikiwa kimerejea katika Ubora baada ya kuwa baba kwa mara ya kwanza .
Mserbia huyo mwenye umri wa miaka 27 atacheza mechi yake ya kwanza siku ya jumanne katika mashindano ya paris Masters mchezo ambao unakuja ikiwa ni siku chache tu tokea mke wa mchezaji huyo jelena Ristic kujifungua .
Naisi kama nimekuwa namba moja haswa baada ya kuwa baba wiki iliyo pita alisema Djokovic
Phillip Kohlschreiber ndiye mpinzani wake wa kwanza tangu apoteze mchezo wake kwa mchezaji anaye shika nafasi ya pili ya dunia roger federer huko mjini shangai mwanzoni mwa mwezi huu
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment