EBOLA:MAREKANI YATOA MWONGOZO MPYA.

Maafisa wa marekani wametoa mwongozo mpya juu ya kuwashughulikia matibabu juu ya wanao rudi nyumbani marekani baada ya kuwahudumia wagonjwa wa Ebola Afrika ya Magharibi.

Mwongozo huu umependekezwa kuwa wanaoshukiwa katika katika hatari ya kuambukiza wengine watazuiliwa nyumbani kwao ingawa majimbo tofauti yatakuwa na uhuru wa kutoa mwongozo thabiti zaidi.

katibu wa umoja wa mataifa amepita atua hizo za kuwaweka kalantini walio athirika .

Mlipuko wa ugonjwa wa Ebola Afrika magharibi umewaathiri zaidi ya watu 10,000 na kuwauwa watu takribani 5000

Akikaidi maitaji hayo mapya ,Gavana wa New Jerzy chris Christie alitetea maitaji hayo ya kalantini aliyowekewa kaci hickox wakati alipo wasili kutoka sierra Leone,Amesema wataendelea kuchukua hatua kama hizo.

Msimamo huo unatofautiana na ule wa katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban ki moon ambaye awali alisema wale wanao taka kutoa msaada wasiwekewe vikwazo ambavyo aviambatani na sayansi 

Alisema na JICHOPEMBUZI kwamba wale wamepata maambukizi wanafaa kusaidiwa na sio kutengwa.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment