Wavuvi waaswa kuchukua tahadhari kujikinga na Ebola


Na Asha Salim, Pemba
WAVUVI katika wilaya ya Micheweni wametakiwa kuchukua tahadhari kubwa juu ya maambukizi ya ugonjwa wa Ebola hasa wanapokuwa dago nje ya kisiwa cha Pemba.
Tahadhari hiyo imetolewa na Maofisa wa Idara ya Uvuvi, wakati wakizungumza na wavuvi pamoja na wanajamii katika kijiji cha Shumba mjini, wilayani humo.
Walisema miongoni mwa watu wanaotakiwa kuchukua tahadhari juu ya maambukizi ya Ebola ni wavuvi wanaotoka na kuingia katika visiwa tofauti pamoja na kuacha tabia ya kuchukua wageni kiholela.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment