baadhi ya wajumbe wa CHADEMA wakimsikiliza mwenyekiti wao.
baadhi ya wajumbe wa CHADEMA wakimsikiliza mwenyekiti wao.
kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa sambala uliopo maeneo ya kambi ya FFU manispaa ya iringa mjini.
Akizungumza na mtandao huu mwenyekiti wa CHADEMA manispaa ya iringa FRANK NYALUSI amesema kuwa chama chao kitafanya kura za maoni wazi ili kutoa nafasi kwa wananchi wote wenye sifa za kugombea katika kura za maoni.
NYALUSI amewataka wananchama na wajumbe wa chama hicho kuwa wamoja na kuendeleza usilikiano wao kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mwezi ujao.
Aidha nyalusi ameongeza kuwa wajumbe wa wa chama hicho kuwa majini katika kura za maoni ili kuwapata viongozi wanaohitajika na wananchi.
Kwa upande wao wajumbe wameahidi kuyafanyia kazi yote ambayo mwenyekiti ameyasema ili kuleta ushindi katika uchaguzi utakao fanyika tarehe 14 mwezi wa kumi na mbili.
0 maoni:
Post a Comment