Mabomu yameripuliwa
leo karibu na ofisi za ubalozi wa Misri na Umoja wa falme za nchi za
kiarabu -Emireti katika mji mkuu Tripoli. Miripuko hiyo ya mabomu
imefuatia mlolongo wa mashambulio ya jana ya mbomu ya kutegwa
ndani ya magari na hasa katika miji inayodhibitiwa na serikali
inayotambuliwa na jumuia ya kimataifa yenye makao yake mjini Tobrouk,
mashariki ya Libya -serikali ambayo uhalali wake unabishwa na serikali
hasimu ya mjini Tripoli.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment