TV SIBUKA TANZANIA WAZINDUA KITUO KIPYA CHA REDIO.....!!

Tv sibuka tanzania wazindua kituo kipya cha redio kijulikanacho kama Ghetto f.m 94.5 kulia ni meneja wa sibuka tanzania Bw. Edward Rukasa akizindua rasmi studio hiyo nakuitambulisha kwa wadau na kushoto ni mwenyekiti wa bodi ya bahati nasibu nchini bwana Abasi Tarimba.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment