HOSPITARI YA MBEYA YATEULIWA KUPIMA EBOLA.

Mbeya.
Hospitari ya rufaa mbeya (MRH) imeteuliwa rasmi kuwa na maabara maalumu ya kuwapima watu watakao isiwa kuwa na maambukizi ya virusi vya Ebola.

Mkurugenzi mkuu wa hospitari hiyo Mpoki ulisubisya alisema hayo jana jioni alipozungumza mambo mbalimbali kuhusu changamoto inayo ikabili hospitari yake 

nikweli hospitari yetu imechaguliwa kuwa na maabara maalumu ya kupima virusi vya ebola nchini na kwa sasa maandalizi yote yanakamilishwa na tutaanza kazi mwishoni mwa mwezi huu au mapema Februari,alisema

Kwakipindi cha miaka mitano sasa maabara ya hospitari ya rufaa ya mbeya ni maabara ambayo imethibitishwa kimataifa kwa ubora na kwamba vipimo vikitolewa kwenye maabara hiyo zina kubariwa na nchi za Marekani na Uingereza.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment