PUNYETO NI UATHIRIKA!FANYA HAYA UACHE HUO MCHEZO

▼ PUNYETO NI UATHIRIKA! FANYA HAYA UACHE HUO MCHEZO

Wanaume wengi wamekuwa wakitumia njia ya kujichua ili kumaliza haja zao au matamanio ya kimwili pale wanapokosa wanawake wa kumaliza nao haja zao. Baada ya kuzoea mchezo wa kujichuo huwa ni kazi sana kuuacha hasa kwasababu huwa inamuathiri mtu kisaikolojia, sasa haya ni mambo muhimu yatakayokusaidia kuacha kujichua:

• Acha kuangalia video za ponograph: video hizi ndio chanzo kikuu cha punyeto kwa watu wengi hua zinajenga picha nyingi kwenye ubongo na kila picha unayoiona utataka ukaipigie punyeto hivyo kuacha kuziangalia tu ndio nafuu yako..  Weka mipango ya kuzuia kupiga punyeto wakati wa kuoga: bafuni ndio sehemu ambayo inatumika sana na watu wengi kupiga punyeto hivyo ni vizuri kua na mikakati ya kujizuia ukiwa huko kwa kuoga haraka na kuondoka, kuoga maji ya baridi ambayo mara nyingi hayatoi muhemko wa kupiga punyeto. •

Epuka kukaa nyumbani peke yako; mara nyingi kukaa peke yako kunakufanya ushawishike kufanya tendo hilo, hebu ondoka na ujichanganye na watu wengine au tafuta majirani wa kukaa na kuongelea mambo mengine. •

Fikiria kuhusu madhara yake: kila aliyewahi kupiga punyeto kuna madhara mabayo ameshayapata hasa madogo madogo kama uchovu mkubwa, kuumwa kichwa na kusahau sana hii itakupa moyo wa kuendelea kutopiga punyeto. •

Acha kusema eti hii punyeto ni ya mwisho: siku zote wapiga punyeto wana akili moja ya kufikiria eti sasa leo napiga afu sirudii tena. Hicho kitu hakipo, kwani kesho yake utasema ivoivo, kama unaacha acha mara moja.

• Tafuta mpenzi kama huna kabisa: ukiwa na mpenzi madhara ya punyeto kama kupungukiwa nguvu za kiume yatakufanya uache kabisa kwani ukiendelea utaaibika siku moja pale uume utakaposhindwa kusimama kabisa mkiwa faragha chumbani na pia utapata nafasi ya kushiriki tendo la ndoa hivyo kuacha kabisa punyeto. pia unaweza kumshirikisha mwenzi wako tatizo lako ili akusaidie kuacha.

• Anza mazoezi na jishughulishe na mambo mengine: hii itakufanya uwe bize na mambo mengine na utumie muda wako mwingi huko, pia mazoezi ya jioni yatakufanya uchoke na kushindwa kufikiria kupiga punyeto wakati wa kwenda kulala. Kula chakula bora cha asili; vyakula vya viwandani vina kemikali nyingi sana na ndio vyakula vinaliwa sana kwenye kizazi chetu hichi cha sasa hivi ndio maana shida hizi zamani hazikuwepo ila siku hizi hata kijana mdogo analalamika kuishiwa nguvu za kiume.

Kula ugali, maharage, viazi, maziwa mgando, karanga, korosho, mihogo na vyakula vyote vya asili unavyofahamu ila punguza ulaji wa nyama kwani hauna matokeo mazuri kwenye tiba hii. Kunywa maji mengi sana;

kusimama vizuri kwa uume kunategemea sana mzunguko mzuri wa damu mwilini hivyo kama mwili una maji mengi ni rahisi damu kwenda vizuri kwenye uume.

Nikukumbushe kwamba ni wingi wa damu unaopelekwa sehemu za siri zako na kufanya uume wako usimame vizuri.. pia mwili unatoa kipaumbele vya damu nyingi kwa viungo vinavyotupa uhai kwanza kwa maana nyingine damu yako haiwezi kuacha kwenda kwenye ubongo, figo na moyo kwanza afu iende kwenye uume. Upe mwili sababu za kupeleka damu ya ziada kwenye uume wako kwa kunywa maji mengi.

at 2:40 AM Shiriki Links to this post Unda Kiungo ‹ › Nyumbani Ona toleo la wavuti Inaendeshwa na Blogger.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment