CCM iache kumu-abuse Makongoro Nyerere

It is very sad wanachofanya kwa makongoro. ..wamemkata kwenye uraisi. Kwenye ubunge pia wamemkata. ..lakini wanajua udhaifu wa makongoro kuwa ni mtu wa kuropoka-ropoka. ..sasa wameamua kumtumia kuporomosha matusi ktk kampeni hizi. ..inasikitisha sana kwamba mtoto wa baba wa taifa, mtu ambaye taifa hili linamheshimu, ndiyo nawekwa mstari wa mbele kuporomosha matusi na kejeli ktk kampeni zetu. ..kwa kweli huu si uungwana. Sidhani kama familia ya Baba wa Taifa inastahili udhalilishaji huu.

By Joka Kuu


from Blogger http://ift.tt/1JgiaDQ
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment