Unaambiwa Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayekipiga Real Madrid Hispania Cristiano Ronaldo ametumia fedha yake nyingi kwa ajili ya kutimiza kiu yake ya kumiliki na kutumia magari ya kifahari.
1. Bugatti Veyron
2. Phantom Rolls-Royce
3. Porsche Cayenne
4. Porsche Cayenne Turbo
5. Porsche 911 Carrera 2 S Cabriolet
6. Mercedes-Benz C-Class Sports Coupe
7. Mercedes-Benz C220 CDI
8. Maserati GranCabrio
9. Ferrari 599 GTB Fiorano
10. Ferrari 599 GTO
11. Audi R8
12. Lamborghini Aventador LP 700-4
13. Bentley GT Speed
14.BMW M6
15. Bentley Continental GTC
16. Audi Q7
17. Audi RS6
18. Aston Martin DB9
19. Ferrari F430
CHEKA KIDOGO NA HUYU JAMA ASIEJUA KUCHEZA KWAITO
from Blogger http://ift.tt/2lq7vTw
via IFTTT
0 maoni:
Post a Comment