Kama kawaida uzinduzi wa kampeni za CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa Urais, Ubunge na madiwani, uzinduzi wa CCM ambao ulipambwa na uwepo pia wa makada wa CCM kutoka katika tasnia ya filamu na wasanii wa bongofleva pia walikuwepo licha ya kutokana na ufinyu wa muda waliopata nafasi ya kuperform hadi sasa ni Peter Msechu, Yamoto Band naDiamond Platnumz sambamba na timu ya watu wake.
from Blogger http://ift.tt/1I6BXSj
via IFTTT
0 maoni:
Post a Comment