Dk Shein afungua mkutano wa Shirikisho la Vyuo Vikuu Zanzibar kupitia CCM


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Shirikisho la  Wasomi wa  Vyuo Vikuu Zanzibar kupitia CCM  Khamis  Ali Ameir alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar kuzungumza na Shirikisho hilo leo,[Picha na Ikulu.]

  Viongozi wa Shirikisho la Vyuo Vikuu Taifa CCM wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipoingia katika ukumbi wa Mkutano wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar leo kuzungumza na Shirikisho a  Wasomi wa  Vyuo Vikuu Zanzibar kupitia CCM,[Picha na Ikulu.]
 Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa siku moja wa Shirikisho la Wasomi wa Vyuo Vikuu vya Zanzibar CCM wakiwa katika ukumbi wa Mkutano wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar ambapo  mkutano huo ulifunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]

 Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa siku moja wa Shirikisho la Wasomi wa Vyuo Vikuu vya Zanzibar CCM wakisikiliza hotuba ya ufunguzi  iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein leo  katika ukumbi wa Mkutano wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
 Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa siku moja wa Shirikisho la Wasomi wa Vyuo Vikuu vya Zanzibar CCM wakiwa katika ukumbi wa Mkutano wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar ambapo  mkutano huo ulifunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Risala ya Shirikisho la Vyuo Vikuu vya Zanzibar kupitia CCM Kassim Ali Khamis kabla ya kuufungua  wa Mkutano wa Shirikisho hilo uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
 
 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hotuba ya ufunguzi  mkutano wa shirikisho la Wasomi wa Vyuo Vikuu vya Zanzibar CCM  uliofanyika leo katika ukumbi wa Mkutano wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]

from Blogger http://ift.tt/1NvOzLd
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment