Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akisalimiana na mwakilishi mkazi wa Benki ya dunia Bi. Bella Bird alipomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akizungumza na mwakilishi mkazi wa Benki ya dunia Bi. Bella Bird Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akiagana na mwakilishi mkazi wa Benki ya dunia Bi. Bella Bird Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
from Blogger http://ift.tt/1XQ7d66
via IFTTT
0 maoni:
Post a Comment