UTABILI WA HALI YA HEWA JUMAMOSI YA DISEMBA 5, 2015 KUANZIA USIKU WA IJUMAA

  WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24
ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 04/12/2015.
[Mikoa ya Shinyanga, Kagera,
Mwanza, Geita na Mara]:
[Mikoa ya Simiyu, Kigoma,
Rukwa, Katavi na Tabora]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Njombe, Kilimanjaro,
Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Mbeya, Iringa, Ruvuma,
Mtwara na Lindi]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua
katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Tanga, Dar es
Salaam, Morogoro na Pwani ]:
[Mikoa ya Singida na Dodoma]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya Mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
ANGALIZO
VIPINDI VIFUPI  VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO YA
MIKOA YA MARA, MWANZA, GEITA, KAGERA, KIGOMA, TABORA NA KATAVI
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
Kiwango
cha juu cha joto
Kiwango cha
chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo
(Saa)
ARUSHA
29°C
16°C
12:17
12:31
D’SALAAM
32°C
23°C
11:59
12:27
DODOMA
32°C
15°C
12:15
12:36
KIGOMA           
28°C
20°C
12:40
01:02
MBEYA
26°C
16°C
12:19
12:53
IRINGA
30°C
15°C
12:12
12:42
MWANZA
26°C
18°C
12:32
12:44
TABORA
30°C
17°C
12:28
12:50
TANGA
34°C
23°C
12:03
12:25
ZANZIBAR
32°C
22°C
11:59
12:27
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa; kutoka
Kusini-mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini-Mashariki
kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo.
Matazamio kwa siku ya Jumapili:
06/12/2015: Mabadiliko kidogo
.
Utabiri
huu umetolewa leo tarehe: 04/12/2015.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

from Blogger http://ift.tt/1ODgM2t
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment