NAFASI YA KAZI YENYE MSHARAHA MZURI

JOB VACANCY..
Je, unatafuta ajira nzuri inayolipa?
1.Mshahara Tsh 800,000/= kwa mwezi.
2.Mda wa kazi kuingia saa 8.30 asubuhi
hadi saa 4 jioni.
3.Allowance 300,000/= kwa mwezi.
4.Siku za kazi jumatatu hadi ijumaa.
5.Usafiri na nyumba ya kuishi upo.
Requirements..
1.Cheti cha form 4 na form 6 {CSEE & ACSEE}
2.Elimu ya chuo. {Diploma au Bachelor
degree}.
3.Hakuna uzoefu unaohitajika.
4.Umri chini ya miaka 45. Kama unahitaji hiyo
kazi, basi usijali.
Njoo ungana na mimi tuanze kuitafuta manake
hata mimi ninatafuta kazi hiyo.

from Blogger http://ift.tt/1Yw6inZ
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment