BREAKING: Hatimae upande wa Lady Jaydee waongea kuhusu CLOUDS





Lady Jaydee na Clouds Media Group hawakuwa kwenye uhusiano mzuri kwa kitambo na hii ilipelekea mpaka kesi Mahakamani na Clouds ikashinda kesi

Sasa habari kubwa ya November 30 2016 ni kauli ya Management ya Lady Jaydee ikiwa ni baada ya Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji Clouds Ruge Mutahaba kusema kwamba nyimbo za Jide zinaweza kuendelea kupigwa iwapo yeye mwenyewe ataruhusu maana alikataza na jina lake lisitajwe.

Uongozi unaomsimamia Lady Jaydee umemuandikia Mtangazaji Millard Ayo tamko rasmi baada ya hiyo kauli ya Ruge Mutahaba
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment