FAHAMU ATHARI ZA KIAFYA ZITOKANAZO NA MIMBA ZA UTOTONI.
Nchi ya Uganda na Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo hutajwa kuongoza kwa mimba na ndoa za utotoni, hii ni kwa mujibu wa moja ya Shirika la Haki za Binadamu duniani.
Licha ya kuwepo na jitianda mbali mbali katika nchi za afrika Mashariki na Kati za kupambana na ndoa za utotoni,lakini bado tatizo hilo limendelea kushamiri katika jamii zetu,hali ambayo imesababisha wanaharakati ya Afya na haki za binadamu kulalamikia mfumo mzima wa kusimamia sheria kwa kutowachukulia hatua kali za kisheria watu wanaobainika kuwasababishia mimba watoto
0 maoni:
Post a Comment